Habari za wanaJF?
Mimi ni kijana kitanzania, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri.
Sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji kuoa, kuwa na mwanamke.
Kuhusu kabila mimi sibagui. Ila mwanamke huyo asiwe mpenda maslahi! Mimi na yeye tutatafuta tukiwa pamoja.
Atakayekuwa tayari, tafadhali tuwasiliane ili tuweze kuelezana zaidi.
Ahsanteni.