Habari Wana JF.
Naitwa parson,
Nina umri wa miaka 35,
pombe na sigara situmii,
Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa.
Sifa ya mke nimtakaye.
Umri kuanzia 30-36
Kabila -lolote
Dini- yeyote
Rangi -Natural (asiwe wadukani)
Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu.
N:B Eva popote ulipo adamu nakusubiria Bado fanya haraka tuanze maisha.
Habari wan jf
Jina - Jenstone
Umri- 34
Kazi - mjasiriamali
Elimu- Diploma
Dini- Mkristu
Pombe/Sigara- situmii
Sifa za mke nimtakaye
Umri kuanzia 28+,Kabila lolote,Elimu- yeyote,Awe na hofu ya Mungu,Mwenyekujituma na anayetambua thamani ya mumewe.Nitampenda na kumlinda ,Nitamuheshimu .Karibuni sana pm