OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kigezo cha mwanamke
Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
Duuuh we dogo kumbe hujaoa?Sifa zangu:
Umri wangu ni kijana
Ni mwajiriwa na mfanyabiashara
Kigezo cha mwanamke
Awe na kitu cha kuofa kwangu mbali na kunivulia nguo ya ndani
Wewe sasa ndio umenielewaAkipatikana niite mbwa.
Kwani alikuwa wangu?Mlokole wako, alienda wapi?
Wewe mwenye Avatar ya Mo.