Natafuta mke wa kuoa kabisa

Mhh unatafta mke hapa jf kweeeli...
Utakuja ingia chakike ww...
Nenda kijijini wazee wakutaftie kabinti kazuri kalikotulia uoe...walau utapata amani...
Hawa wa mjini jf wataku...ma..li..za.
Kila la heri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…