Natafuta mke wa kuoa mkristo mwenye utayari- kuolewa

Natafuta mke wa kuoa mkristo mwenye utayari- kuolewa

HENRY112

Member
Joined
May 29, 2013
Posts
7
Reaction score
1
Naitwa Henry umri miaka 30, natafuta mchumba awe mke wangu baada ya kufahamiana awe mkristo,asiwe na mtoto hajawahi kuolewa umri kuanzia (22-30)umbo la kawaida asiwe mnene kabila/rangi yeyote mm ni mfanyakazi aliye tayari tuwasiliane kupitia namba (0753-484026 au henrymunishi@yahoo.com)sms zote zitajibiwa. ONYO-SIITAJI MWANAFUNZI
 
hata mwanachuo hutaki?
Shida kubwa ya wanachuo ni hii hapa..
1. Mizinga
2. Mchana lecture usiku Corner Bar
3. Maisha ya juu kuliko uhalisia
4. Kitendo cha kutaka kuwaonyesha wenzio kwamba kapata, inamfanya muoawaji akostike kuliko kawaida..
 
mbona mi mwanachuo ila hayo yote sina?
 
mbona mi mwanachuo ila hayo yote sina?
Unaweza ukakwepa yoooteeee lakini hilo la nne hakuna mwanachuo anayechomoka hapo (4. Kitendo cha kutaka kuwaonyesha wenzio kwamba kapata, inamfanya muoawaji akostike kuliko kawaida)
 
Unaweza ukakwepa yoooteeee lakini hilo la nne hakuna mwanachuo anayechomoka hapo (4. Kitendo cha kutaka kuwaonyesha wenzio kwamba kapata, inamfanya muoawaji akostike kuliko kawaida)

mi sina ila namba moja sawa.....
 
Yaani Evelyn Salt umenifurahisha sana... Yaani umenionyesha kabisaaaaaa haiba ya kike ... Umekataaaaaaaaaa lakini mwisho umeanza kukubali moja moja... Nina uhakika tukiendelea hadi jioni, utayakubali yootee hapo kuwa unayo..

2,3 na 4 sina ila namba moja ni kweli......ni hayo tu.
 
Shida kubwa ya wanachuo ni hii hapa..
1. Mizinga

mbona mi mwanachuo ila hayo yote sina?

mi sina ila namba moja sawa.....

2,3 na 4 sina ila namba moja ni kweli......ni hayo tu.

Yaani nimejikuta nacheka peke yangu!

Yaani unavyokubali namba 1 ina maana umeshajifanyia analysis mpaka ukajijua kabisa weakness yako ni no 1! - teh! teh! teh! - maana hata hubishi!
 
Yaani nimejikuta nacheka peke yangu!

Yaani unavyokubali namba 1 ina maana umeshajifanyia analysis mpaka ukajijua kabisa weakness yako ni no 1! - teh! teh! teh! - maana hata hubishi!

Teh nani asiependa hela?
 
Back
Top Bottom