hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
Mkuu mwenye HAMU ya kuwowa, nakushauri ujichanganye na watu ukiwa una adhma yako hii nzuri machoni pa Mungu na wanadamu. Hii michezo ya kutafuta mchumba kidigitali inaweza kukucost. Angalizo tu mkuu.
Kuwa makini, mapenzi ya kidigitali yana gharama zake. Huchelewi kusikia kwa bi shosti anakwambia, "Bebi mi leo sijiskii mapenzi kabisa unajua mtandao uko chini sana server na lenyewe limebuma" Utafanyaje mtu wa Mungu nawe ulianzia kidigitali zaidi goma lazima likushinde technically. Kwi kwi kwi kwi