Natafuta mke wa kuoa mwakani mwezi wa 4 mwenye umri miaka 26-35

Babatobe2019

New Member
Joined
Oct 29, 2019
Posts
0
Reaction score
1
Jina: Patric
Umri: 30
Kazi: Mwajiriwa
Dini: Mkristo
Elimu: Degree
Simu: Baadaye
Lengo: Natafuta mke wa kuoa

Sifa za mke ni mtakaye.
Umri: 26-35
Dini: Yeyote
Kabila: Lolote

Kwa mawasiliano zaidi ni pm nipo serious.

Kama upo serious na unamaanisha karibu.
 
Mke!? Humu!? Labda kahaba lakini mke huwezi mpata mazingira haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…