Natafuta mke wa kuoa, ni pm tafadhari

Natafuta mke wa kuoa, ni pm tafadhari

Prince Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
910
Reaction score
247
Kwa mwanamke ambaye hajawahi kuolewa, kabila na dini yoyote, elimu kuanzia f4, si lazima awe na kazi, umri miaka 25-33, awe mtanzania, urefu kuanzia 160-180cm, uzito kati ya kilo 58-70, asiwe anajichubua/amejichubua mwili wake na awe mwimbaji

Mimi nina miaka 38, elim yangu shahada ya udhamili, ni mfanyakazi, uzito kilo 72, urefu 180cm

Nb, kma ni dini tofauti na ukristo uwe tayari kubadilika.

Be serious, because am serious too...
 
Kwa mwanamke ambaye hajawahi kuolewa, kabila na dini yoyote, elimu kuanzia f4, si lazima awe na kazi, umri miaka 25-33, awe mtanzania, urefu kuanzia 160-180cm, uzito kati ya kilo 58-70, asiwe anajichubua/amejichubua mwili wake na awe mimbaji

Mimi nina miaka 38, elim yangu shahada ya udhamili, ni mfanyakazi, uzito kilo 72, urefu 18cm

Nb, kma ni dini tofauti na ukristo uwe tayari kubadilika.

Be serious, because am serious too...

Hapo kwenye urefu mkuu mbona inaisha? 18 cm? Ila nikuambie kitu!!! Mke mwema hutoka kwa Mungu ila mali na utajiri mtu hupewa na babaye!!!! Nenda mbele za Mungu piga magoti utampata mke wa uabavu wako. Hawa wa mtandaoni ni majaribu au majanga unatafuta!!!! Ninaamini siku ikifika Mungu atakukutanisha na mke wako ila pia ni lazima uwe safi usikute at 38 wewe ulishachezea maisha sasa ndo umekumbuka blanketi wakati kunakucha!!! At 38 hujawahi kuoa? Ulikuwa wapi? Average age ya normal Tz man kuona ni 30 years!!!! You are skewed to the right!!!!!
 
Hivi atakuwa wa kwanza au? 38 ningekuelewa kama uliweka nadhiri hadi uchukue ile kitu iko penda wanasiasa wa bongo; inaitwa Punda Hana Dhamana
 
Kwa mwanamke ambaye hajawahi kuolewa, kabila na dini yoyote, elimu kuanzia f4, si lazima awe na kazi, umri miaka 25-33, awe mtanzania, urefu kuanzia 160-180cm, uzito kati ya kilo 58-70, asiwe anajichubua/amejichubua mwili wake na awe mwimbaji

Mimi nina miaka 38, elim yangu shahada ya udhamili, ni mfanyakazi, uzito kilo 72, urefu 18cm

Nb, kma ni dini tofauti na ukristo uwe tayari kubadilika.

Be serious, because am serious too...

duuh mkuu ulimaanisha hiyo kwenye nyekundu? maana hata rula inakuzidi urefu!
 
Kwa mwanamke ambaye hajawahi kuolewa, kabila na dini yoyote, elimu kuanzia f4, si lazima awe na kazi, umri miaka 25-33, awe mtanzania, urefu kuanzia 160-180cm, uzito kati ya kilo 58-70, asiwe anajichubua/amejichubua mwili wake na awe mwimbaji

Mimi nina miaka 38, elim yangu shahada ya udhamili, ni mfanyakazi, uzito kilo 72, urefu 18cm

Nb, kma ni dini tofauti na ukristo uwe tayari kubadilika.

Be serious, because am serious too...

dah mwimbaj tena!! Kwel kaz ipo
 
Hapo kwenye urefu mkuu mbona inaisha? 18 cm? Ila nikuambie kitu!!! Mke mwema hutoka kwa Mungu ila mali na utajiri mtu hupewa na babaye!!!! Nenda mbele za Mungu piga magoti utampata mke wa uabavu wako. Hawa wa mtandaoni ni majaribu au majanga unatafuta!!!! Ninaamini siku ikifika Mungu atakukutanisha na mke wako ila pia ni lazima uwe safi usikute at 38 wewe ulishachezea maisha sasa ndo umekumbuka blanketi wakati kunakucha!!! At 38 hujawahi kuoa? Ulikuwa wapi? Average age ya normal Tz man kuona ni 30 years!!!! You are skewed to the right!!!!!

Asante kwa ushauri, naingoja sauti ya Mungu iseme jambo ndani yA moyo wangu,ubarikiwe sana
 
Mambo ya imani bana eti upige goti mungu akupe mke!? Kuweni serious jamani. Kazi zingine sio za mungu.
Kaka tafuta mke wewe mwenyewe kwani ktk maisha yangu sijawahi ona mungu akimshushia mtu mke au mume.
 
Mmmh... Ubonge umeniponza..! Ngoja nianze mazoezi ya nguvu!
 
Kwa mwanamke ambaye hajawahi kuolewa, kabila na dini yoyote, elimu kuanzia f4, si lazima awe na kazi, umri miaka 25-33, awe mtanzania, urefu kuanzia 160-180cm, uzito kati ya kilo 58-70, asiwe anajichubua/amejichubua mwili wake na awe mwimbaji

Mimi nina miaka 38, elim yangu shahada ya udhamili, ni mfanyakazi, uzito kilo 72, urefu 180cm

Nb, kma ni dini tofauti na ukristo uwe tayari kubadilika.

Be serious, because am serious too...

Ukipunguza vigezo na ukawa unatafuta yeyote. Basi usisite kunitafuta.
 
Back
Top Bottom