Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Tswana14

Senior Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
167
Reaction score
73
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa nimechoka kuwa mpweke msichana awe na umri wa miaka 23 mpaka 26.

Aliye interested tuwasiliane pm, please kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
 
mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa nimechoka kuwa mpweke msichana awe na umri wa miaka 23 mpaka 26 Aliye interested tuwasiliane pm please km hii post haikuhusu ipotezee tu
kila la heri mkuu
 
Back
Top Bottom