Maishani2018
Member
- Jul 24, 2017
- 8
- 6
Habar wana jf, Mimi ni mtanzania halisi najitokeza Kwa mara ya kwanza kutafuta mke Wa kuoa.
Jina : Deric Mabala
Umri wangu : 34
Kabila langu : Mbende
Mahali napoishi 😀ar es salaam
Elimu yangu :Chuo kikuu
Rangi na muonekano :Mweusi wakawaida
Dini :mkristu
Urefu wangu : 5.6Ft
Umbile : Mnene kiasi
Sigara : Situmii
Pombe :situmii ila juice ya matunda
Ndoa :Sijawahi kuoa
Mtoto :Sina
Kazi muajiriwa :Taasisi binsfsi
Mke nimtakaye :
Kwa ufupi sina ubaguzi wa kitu chochote, elimu, dini, kabila,umri tu kuanzia 24-36.akiwa na mtoto pia sitatizo kwangu kwani nipo tyr Vyovyote atavokua.
-Awe na hofu ya Mungu na mwanamaombi
-Awe ni mpenda maendeleo
-Awe anauchukia umaskini
-Awe tyr kuishi na familia za pande mbili ndugu zake na ndugu zangu pindi wanapotutembelea
Kama mimi .
Ndugu zangu kumpata mke hakuna kanuni ni wapi anapatikana nachojua mke anapatikana Popote pale hususani makanisani, msikitini, makazini, safarini, mahali unapoishi, nakupitia mitandao kwani Kila mtu amepangiwa na mola mke atampatia wapi. Hivo hata kuandika humu ndani naamini namo nipo sahihi iwapo kama Mungu kaniandikia kumpata mke humu ndani nitampata,
Kwa alie tayari naomba ni pm au tumia namba hii 0623058413
N:B vizuri tumia ya simu ni njia ya haraka.