Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Nkonzi JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
324
Reaction score
195
Mimi ni mvulana wa miaka 30
Elimu yangu degree
Kazi mjasiliamari
Nakoishi mbeya

Nataka mwanamke wa kumuoa
Awe anasari
Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa mfanyakaz
Elimu yake form four kuendelea
Ila awe na tako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We muoaji kweli ?
Kuna binadam alokua hana tako?
 
Mimi ni mvulana wa miaka 30
Elimu yangu degree
Kazi mjasiliamari
Nakoishi mbeya

Nataka mwanamke wa kumuoa
Awe anasari
Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa mfanyakaz
Elimu yake form four kuendelea
Ila awe na tako

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbeya si ndo kwenye matako na miguu ya via au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom