Natafuta mwanamke wa kuoa.
Kwanza awe na vigezo vifuatavyo.
1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa.
2. Awe mkweli
3. Muwazi
4. Anajali
5. Umri 20 hadi 24
Umri wangu ni miaka 25.
Pia sifa nilizozianisha hapo juu ninazo mimi pia.
Nipo Morogoro kwa sasa.
Kama yupo aliye tayari ani PM.
All the bestNatafuta mwanamke wa kuoa.