NATAFUTA MKE WA KUOA

NATAFUTA MKE WA KUOA

Tour1234

Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
5
Reaction score
1
Natafuta mwanamke wa kuoa.
Kwanza awe na vigezo vifuatavyo.
1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa.
2. Awe mkweli
3. Muwazi
4. Anajali
5. Umri 20 hadi 24

Umri wangu ni miaka 25.
Pia sifa nilizozianisha hapo juu ninazo mimi pia.
Nipo Morogoro kwa sasa.

Kama yupo aliye tayari ani PM.
 
Natafuta mwanamke wa kuoa.
Kwanza awe na vigezo vifuatavyo.
1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa.
2. Awe mkweli
3. Muwazi
4. Anajali
5. Umri 20 hadi 24

Umri wangu ni miaka 25.
Pia sifa nilizozianisha hapo juu ninazo mimi pia.
Nipo Morogoro kwa sasa.

Kama yupo aliye tayari ani PM.

Ok unataka mtu mwenye sifa ulizoainisha.

Ila unasema na wewe sifa za hapo juu unazo.

Hivyo na wewe ni;
-Mnene
-Mkweli
-Muwazi
-Unajali
-Una miaka 20 - 24.

Kisha chini unasema una miaka 25.

Ikiwa umedai hizo sifa ni zako means una miaka 20 au 21 au 22 au 23 au 24. Na hapa chini unasema una miaka 25.

Hivyo wewe siyo mkweli, siyo muwazi, haujali pia hauna miaka 20 - 24.

Sifa iliyobaki hapo ni unene tu.
 
. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa.
wapo na utampata.

2. Awe mkweli
3. Muwazi
4. Anajali

2-4 Walikufa kwenye Second World War

5. Umri 20 hadi 24
Wapo sana utapata[/b][/b]
 
Natafuta mwanamke wa kuoa.
Kwanza awe na vigezo vifuatavyo.
1. AWE MNENE, mwanamke mwembamba moyo wangu haumhitaji kabisa.
2. Awe mkweli
3. Muwazi
4. Anajali
5. Umri 20 hadi 24

Umri wangu ni miaka 25.
Pia sifa nilizozianisha hapo juu ninazo mimi pia.
Nipo Morogoro kwa sasa.

Kama yupo aliye tayari ani PM.
All the best
 
Kama huyu au zaidi ya hapa?
FB_IMG_15425413956544393.jpg
 
Hivi kidada cha miaka 20-24 kinaweza tulia na kuolewa kabisa? Navojua mie umri huo ndo kwanza mabinti wanagenye kama zote na hulka za kudate different men
 
Back
Top Bottom