Natafuta Mke wa Kuoa

Natafuta Mke wa Kuoa

MasharubuMYJ

Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
15
Reaction score
44
Niliachana na mke miezi sita iliyopita kutokana na mke kutokuwa mwaminifu na kuchepuka mara kadhaa. Nina watoto Wawili wa kiume mmoja na wa kike mmoja. Wote wanasoma shule ya Msingi. Mimi ni mwalimu.
Natafuta mke wa kuoa. Mke awe mwaminifu na mwenye hofu ya Mungu, awe na miaka kati ya 22 hadi 26 maji ya kunde na mwenye mwonekano mzuri kiumbo. Kama yupo na yupo serious na jambo hili anitafute tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom