Natafuta mke wa kuoa

Sisi wafupi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usihofu,ukitaka kujenga mnara lazima uhesabu gharama lakini pamoja na vyote vinavyopewa kipaumbele na wengi kuwa navyo haiondoi maana wala kukidhi haja ya kuwa na "soulmate" hasi na chanya ndio hutengeneza sumaku na dunia ni jumuia ya kukamilishana, usichokuwa nacho wewe Mimi nimejaza au vinginevyo,kikubwa kuliko vyote ni ufahamu tu (understanding).
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza tu kuwa something might bΓͺ wrong!! Kanisani kwako, mtaani kwako, kazini kwako, kijijini kwenu, kote huko umekosa? Sembuse hawa wa Jf ambao huwafahamu kwa sura, muonekano wala tabia?
Lkn nisikukatishe tamaa, huu ni mtizamo wangu. Kila la heri.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ ukweli mtupu
 
Hivi mtu una degree, toka form four, form six, university, mtaan, safarin wakat wa kusima + maeneo mengine unashindwaje kumpata umpendae had utafute jf???
USHAURI
Usiwe mvivu wa kuapproach, mwaga sera na voko mpaka kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…