Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Joined
Feb 11, 2011
Posts
71
Reaction score
6
Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na tamaa, rangi yoyote, kabila lolote, aliye tayari kufunga ndoa kanisa letu-RC, asiye mdanganyifu.

sifa zangu ni, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, nina mvuto mkubwa sana, naamini atakayekuwa tayari atanipenda, elimu ipo juu, nina kazi inayotosha kutunza familia.

aliye tayari tuwasiliane hapa mtumwamtumwa@yahoo.com.
 
Watakuja wenye uwezo mzuri wa kuchangia. Wacha nende zangu, lunch time imeshaisha!
 
Ukitaka mke kwa sifa hizo tembelea sana samaki-samaki mlimani city
 
Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na tamaa, rangi yoyote, kabila lolote, aliye tayari kufunga ndoa kanisa letu-RC, asiye mdanganyifu.

sifa zangu ni, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, nina mvuto mkubwa sana, naamini atakayekuwa tayari atanipenda, elimu ipo juu, nina kazi inayotosha kutunza familia.

aliye tayari tuwasiliane hapa mtumwamtumwa@yahoo.com.

hapo ndio sijakuelewa unamaanisha nini?...una mvuto wa kumvutia nani,.....watu wengine bana kucha kujisifia,...au ndio jf imevamiwa na masharobaro
 
Mke mwema anatoka kwa 'bwana'.

Subiri aachwe kwanza na mumewe ndo umuoe.
 
Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na tamaa, rangi yoyote, kabila lolote, aliye tayari kufunga ndoa kanisa letu-RC, asiye mdanganyifu.

sifa zangu ni, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, nina mvuto mkubwa sana, naamini atakayekuwa tayari atanipenda, elimu ipo juu, nina kazi inayotosha kutunza familia.

aliye tayari tuwasiliane hapa mtumwamtumwa@yahoo.com.

umejitahidi kuelezea vizuri kabisa.......haswa hapo nilipohighlite.....lakini......hujagundua kuwa CV yako bado ina mapungufu.....? hebu iangalie vizuri
 
Haupo serious kabisa. Reja sifa za mke/mchumba ktk vitabu vya sheria za ndoa katika dhehebu lako. Huu utafutaji wa mchumba kwa dizaini hii utakupeleka pabaya. Au una tatizo ndugu?
 
Nimewahi kuja mbele yenu, kwa heshima zote nikitafuta mwanamke wa kuoa sikfanikiwa, narudi tena kujaribu bahati, nikasema ni lazima awe ni mwanamke mzuri, mwenye shape ya kuvutia sana, asiye na tamaa, rangi yoyote, kabila lolote, aliye tayari kufunga ndoa kanisa letu-RC, asiye mdanganyifu.

sifa zangu ni, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, nina mvuto mkubwa sana, naamini atakayekuwa tayari atanipenda, elimu ipo juu, nina kazi inayotosha kutunza familia.

aliye tayari tuwasiliane hapa mtumwamtumwa@yahoo.com.

Kila la kheri, ila ungeweka picha yako ingeweza kuwashawishi zaidi na kuwafanya waamini sifa ulizojimwagia hapo kama ni za ukweli
 
umejitahidi kuelezea vizuri kabisa.......haswa hapo nilipohighlite.....lakini......hujagundua kuwa CV yako bado ina mapungufu.....? hebu iangalie vizuri

Ukichangiaga maeneo haya mimi bp tupu hapa lol!! sijui unataka aikamilishe ili anipindue kwako yailahi toba?! Ee Munyazi Mungu ebu na asiikamilishe hiyo cv akaja kuonwa na Preta; Aaamen.
 
hapo ndio sijakuelewa unamaanisha nini?...una mvuto wa kumvutia nani,.....watu wengine bana kucha kujisifia,...au ndio jf imevamiwa na masharobaro
<br />
<br />
hahaha! Hapo kny mvuto ndo paliponiacha hoi!!heri yake ana mvuto mkubwa sana..lol
 
Nenda facebook,usituletee mambo ya k:........v hapa unasema una elimu ya juu ina maana kuanzia o leve,a level,chuo had kazin hujaona wa kuoa mpaka sas?hata unapoishi?kijijin kwenu hata kanisan kwenu bado?hujawah kuwa kwenye mahusiano wewe uchukue hata uliyempiga chin enz hcho kwa sababu zako binafsi?any way mke mwema anapatikana kwa MUNGU
 
<br />
<br />
hahaha! Hapo kny mvuto ndo paliponiacha hoi!!heri yake ana mvuto mkubwa sana..lol

mmmmmmh!.....mkaka anamvuto sana,....haya kazi kwenu wadada,...ila najua wiselady haushoboki na masharobaro wala nini,....keep it up
 
Back
Top Bottom