Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

BUSHU3

Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
73
Reaction score
74
Nina miaka 38
Muajiriwa

Ninatafuta mwanamke wa kuoa, sharti awe mrangi, umri 20 Hadi 28, dini yoyote, elimu yoyote.
 
Nina miaka 38
Muajiriwa

Ninatafuta mwanamke wa kuoa,sharti awe mrangi,umri 20 Hadi 28 ,dini yoyote,elimu yoyote
Warangi na elimu wapi na wapi ..Kuna mrangi age hio yupo jf? Sa hivi wako bize kuchakatwa mbususu labda utawaona huku age 35 and above kwa Sasa labda nikuelekeze pa kuwapata,,

Vibanda vya chakula , sehemu wamama wanakaanga miguu ya kuku, Kama upo Arusha nenda JR Kuna sehemu wanapaita kondoa wako warangi wengi na kwa morombo pia na ESO ungalimited
 
Back
Top Bottom