Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

Mimi ni mwanaume wa miaka 34, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi
Rangi- Maji ya kunde
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- Degree
Kazi- Mtumishi (Taasis Binafsi)

Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 22 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.

* Single parent ( single mother) namkubali pia

-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anapenda marafiki na ndugu zangu
Karibu sana.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mzee baba Kuna yule manzi wa Jana imekuwaje naye anauhitaji mwenza au yeye anawinda discover??
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 34, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi
Rangi- Maji ya kunde
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- Degree
Kazi- Mtumishi (Taasis Binafsi)

Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 22 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.

* Single parent ( single mother) namkubali pia

-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anapenda marafiki na ndugu zangu
Karibu sana.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Mwanamke wa miaka 22 ukimkuta ametulia ni 1 katika 100,Single Parent pia uwe makini napo hapo.
Mungu akajibu hitaji lako.
 
Back
Top Bottom