Natafuta mke wa kuoa

Wahuni sio watu wazuri
Tatizo la wahuni mpaka watie mimba ndio wamuache Dem.
Kumuacha akiwa Hana doa sijui wanaonaje?
Eti mpwayungu village hii tabia mbona hamuiachi?
Unajua mwanamke akishazalishwa chances za kuolewa na gentleman Ni ndogo Sana. Sana Sana ataambulia vibabu vilivyo staafu au bodaboda.
 
Kwa hiyo wa jamaa forum ndo wana utayari? Ndo maana hizi ndoa zinawashinda
Ndo maana nikatangaza mkuu kama hapa nilipo wapo hawazuiliwi kunichek inbox, ama hao unaosemea walizuiliwa kuingia JF
 
Eti Ehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…