Hatari sanaTamaa na kupenda mseleleko. Watu hawataki kuuliza akili, hivyo wanaamua kuumiza mwili.
Kupanga ni kuchagua.
Ma single faza na nyinyi inabidi mjadiliweWakuu kwema
Mimi ni kijana umri Wa miaka 31
Elimu: Bachelor degree ya Computer Science
Kazi: Software developer
Nimeajiriwa
Tayari Nina Mtoto Mmoja Wa kiume.
Rangi Mweusi
Urefu 5.9
Dini Mkristo
Sifa Mwanamke ninayemhitaji
Umri kuanzia 25-30
Awe na hofu ya Mungu
Sihitaji sifa nyingine zaidi
Ukiwa interested ni check Dm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha nyie watu, uwiiiiihKuna mmoja alikuwa anatoa ushuhuda kwenye uzi mmoja hivi nilicheka [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti jamaa alikuwa na id ya kike kuna mwamba akajitosa pm akamwambia amtumie pesa akamtumia elfu 70, alivyoomba waonane akamjibu ukome mie mwanaume mwenzio siku nyingine usirudie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Ivi sio wewe ulienda jeshi mwaka Jana?Nina 31! Mwaka 1 mbona hata sio nyingii
Usiwasanue wana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF ni kichaka kila siku tunawaambia lkn wabishi hawaamini [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba uliachwa ama ! Bila shaka wewe ni mchicha mwaiba! Nyuki wa mashineniAlishaolewa Mwaka 2021
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutokujiamini, mwingine anafungua for fun baadae akianza kutupiwa maneno ananogewa anaanza michezo ya hovyo!!
Ila wanaume mnazidi kupungua kila siku sijui vyakula mnavyokula vinawafanya mtamani kuwa na vibama km sisi!!! Mngejua mi nisivyopenda kuingia period halafu kuna watu wanatamani kuwa km sisi dah!! Nachoka kabisaa!!
Anataka mitazamo wa Wana jf,Urefu wote huo bado hupati pisi kitaa mpaka uje jf.
Mwaka gani babeNilienda ila sio mwaka jana mkuuπ
Sio kwamba kilinikuta kitu apana sema tu nliona content zake siyo kbsHebu sasa niambie kilichokukuta
ππππππ We Lamomy kwani wizo kapotelea wapi jamni ππππππππItakuwa alikutana na wizo ππππ
We chaliii nipo mji mwema nakuja huko mitaaa ya karibu na kwenuππππππ We Lamomy kwani wizo kapotelea wapi jamni ππππππππ
Weee ππππSio kwamba kilinikuta kitu apana sema tu nliona content zake siyo kbs
Basi nimeacha udugu ππππUsiwasanue wana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sindo ulisemaga umempa mimba mtoto wa kibopa? Mana ulikosaga ajiraDini yeyote sibagui dini
Ahsante sana kwa assist πfinancial services usije sema siku pendi π€π€π