Natafuta Mke wa kuoa

Natafuta Mke wa kuoa

viskingo

New Member
Joined
Jul 20, 2024
Posts
4
Reaction score
8
Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo;
Umri: 30
Elimu: Degree
Mahali ninapoishi: kaskazini mwa Tanzania
Dini: Mkristo
Kazi: muajiriwa serikalini
Sina mtoto wala sijawai kuoa

Sifa za ninaemtafuta
Umri: 23-28
Elimu: Kuanzia form 4
Dini: mkristo
Mahali: popote ila akiwa mikoa ya kaskazini itapendeza zaidi
Awe hana mtoto, kwa aliyeserious na mwenye vigezo hivyo karibu sana pm
 
Back
Top Bottom