Natafuta mke wa kuoa

Kanyunyu

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
335
Reaction score
495
Naitwa JAMES, umri wangu ni 27,ni kijana wa kisasa, kwa imani ni MKRISTO na kwa sasa ninaishi DSM.
natafuta msichana mwenye umri kati ya 18 hadi 23 na sifa kubwa awe Mkristo na mwenye kujiheshimu na asiwe mapepe
Itakuwa vizuri awe mweupe, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu kuanzia form four

Dhumuni kubwa ni kuwa mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja
hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa kipindi chote nilichokuwa nasoma, Tafadhali kama upo tayari kuwa nami naomba uni PM



Namba ya simu itafuata baadaE
 
Maziwa,makalio huna hajanayo sana ehh
 
kijana wa kisasa, maana yake SIO MNYANGA
 
Duh! Hizi ni dalili za kukata tamaa au ni udomo zege. Wadada walivyo wengi sana huko mtaani na wa kila namna wewe umeona ni vema ukaingia mtandaoni kuwasaka? Lakini hapa JF sidhani kama watakuwa wengi wa umri unaowataka mpaka ukampata unayemtaka. Anyway, kila la kheri mkuu.
 
Toa Cv iliyokamilika km: elimu yako kazi yako n.k
 
unaonyesha kama upo serious.good luck

hebu msaidieni mimi nilikua na rafiki yangu alishindwa kutongoza tukamtafutia binti tukamsomesha akaelewa cha kufanya mpaka leo ni mke na mume kijana alikuwa na pesa swala la wanawke lilimshinda
 
Nipo serious, kisukari nipigie pande bac huko kitaani kwako au mdogo mtu itakuwa mzux
 
No offense though......
Kama mtu umeshindwa kupata mchumba hatimaye mke kwenye sehemu potential zoooooooooote - shuleni, chuoni, kazini, kanisani, msibani, kwenye harusi, msikitini, mtaani kwako, mtaani kwa baba/mama yako, jirani zako etc etc, na utegemee kupata mke kwenye mtandao, THEN kuna tatizo somewhere, tena tatizo kubwa.

Hawa wa kwenye mtandao ndo walewale unaojaribu kuwakimbia huko uraiani - na kama wa ''uraiani'' hawafai, then hawa hawafai pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…