Kanyunyu
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 335
- 495
Naitwa JAMES, umri wangu ni 27,ni kijana wa kisasa, kwa imani ni MKRISTO na kwa sasa ninaishi DSM.
natafuta msichana mwenye umri kati ya 18 hadi 23 na sifa kubwa awe Mkristo na mwenye kujiheshimu na asiwe mapepe
Itakuwa vizuri awe mweupe, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu kuanzia form four
Dhumuni kubwa ni kuwa mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja
hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa kipindi chote nilichokuwa nasoma, Tafadhali kama upo tayari kuwa nami naomba uni PM
Namba ya simu itafuata baadaE

Edit Post