Natoa shukrani zangu kwa wanaJF wote waliotoa ushauri ktk hili nitaufanyia kazi ila nina historia ndefu na ya kuhuzunisha sn naumia sn ninapoikumbuka na ninapomuona mwanangu machoz yananitoka kwa kile ambacho mama yake amemfanyia. Nipatapo nafasi nitaiandika japo kwa ufupi ndipo mtanielewa kwann natafuta mke kwa wakati huu pia nitahitaji ushauri wenu.... Pia kwa yule dada atakayekuwa tayari tuwasiliane kwa email: kakampole2012@gmail.com nitampa namba yng ya sim..