Natafuta mke wa kuoa

Natafuta mke wa kuoa

kau

Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
80
Reaction score
16
Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke .

SIFA ZA MKE...
Asiwe mrefu sana wala mfupi
Awe black beauty
Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
Awe mkristu
Awe ametokea mkoa wa Iringa,mwanza,kilimanjaro.

Kama uko serious naomba uni PM.
 
Kanda ya ziwa vipi? Mwanza, Tabora, Shinyanga, Musoma, Bukoba hadi kule LEKA TUTIGITE? Nina mdogo wangu yuko Year1 University, ng'ombe wa kutosha unao?
 
Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke .

SIFA ZA MKE...
Asiwe mrefu sana wala mfupi
Awe black beauty
Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
Awe mkristu
Awe ametokea mkoa wa Iringa,mwanza,kilimanjaro.

Kama uko serious naomba uni PM.

Na wewe weka CV yako, na picha if possible... Age is not enough
 
Matangazo kama haya ndio hayana ubora na wewe ungeweka cv yako ukiambatanisha na picha ili watu wakuone kama unakidhi sifa wanazotaka
tunasubili picha uweke
pia hujaeleza kama unatumia bia viloba sigara na mambo mengine funguka
wanawake wapo wengi humu jf pia hujaweka netsalary yako au kama umejiajili watu wajue pato lako kwa mwezi kumbuka pesa nayo ni sifa ya ziada
pia utujibu haya maswali
1.kwa nini umeamua kutaja mikoa kama ya mwanza shy inamaana unataka msukuma kwa nini hutaki makabila mengine kumbuka hii inaonyesha kuwa una ukabila

Back
Top Bottom