kau
Member
- Dec 21, 2011
- 80
- 16
Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke .
SIFA ZA MKE...
Asiwe mrefu sana wala mfupi
Awe black beauty
Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
Awe mkristu
Awe ametokea mkoa wa Iringa,mwanza,kilimanjaro.
Kama uko serious naomba uni PM.
SIFA ZA MKE...
Asiwe mrefu sana wala mfupi
Awe black beauty
Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
Awe mkristu
Awe ametokea mkoa wa Iringa,mwanza,kilimanjaro.
Kama uko serious naomba uni PM.