Natafuta mke wa maisha umri miaka 25-28

Natafuta mke wa maisha umri miaka 25-28

Mkuu naona umepitwa na kale ka-msemo "imperfection makes beauty" .Naona umefunguka vigezo kibao kitu ambacho kwa uhalisia huwezi pata exact match. ...Kila laheli mkuu!
 
kwa mtazamo wangu ni bora ukawa unacmamisha unatongoza wenye hzo cfa maeneo unayoishi au unayotembelea, kwa sabab unapata pia na nafasi yakuchunguza mambo yake mengine, kabla yakujicommite kumwoa au la. Ni vizuri kutangaza ni maana utapata wengi wanaosaka nafasi na fulsa kama hzi.,.. Ila kumbuka
kwenye msafara wa mamba...... Nakuombea heri

asante kwa angalizo..
Shukrani. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
mkuu naona umepitwa na kale ka-msemo "imperfection makes beauty" .naona umefunguka vigezo kibao kitu ambacho kwa uhalisia huwezi pata exact match. ...kila laheli mkuu!

shukrani... Kufunguka muhimu.. Ili kupunguza usumbufu usio na maana...
Asante.
 
Back
Top Bottom