Natafuta mke wa maisha

Natafuta mke wa maisha

chikongolo

Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
6
Reaction score
2
Mimi ni mwanaume wa miaka 48 natafuta mke wa kuoa umri wowote awe mrefu awe mwembamba awe mweupe.

Mimi ni maji ya kunde nina urefu wa futi 5 na inchi 7 maji ya kunde slimbody nipo Dar nipo serious kikubwa ni upweke unanitesa.

Mawasiliano ni 0687 600 350

Karibu sana!
 
Jipe moyo,,chaguo lako lipo kinachotakiwa ni uvumilivu,,all the best
 
mie mfupi na mnene kias vipi naruhusiwa kuingia kwenye battle
 
Back
Top Bottom