Natafuta mke wa maisha

Natafuta mke wa maisha

Kommando muuza madafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,216
Reaction score
7,254
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini.

Nawasilisha.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Nina umri wa miaka 27, ni muajiriwa natafuta mke aliye serious. Mimi ni mkristo sharti mke awe mkristo au awe tayari kubadili dini.

Nawasilisha.
Upo sahihi. Kuoa ni jambo jema. Tuombe kheri.
 
Back
Top Bottom