K Kachelenga Member Joined Sep 11, 2012 Posts 26 Reaction score 6 Feb 23, 2013 #1 Natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,mm nina miaka 43,awe mkweli na muwaza na awe mwanamke anaeitaji mume wa maisha.
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,mm nina miaka 43,awe mkweli na muwaza na awe mwanamke anaeitaji mume wa maisha.
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,181 Reaction score 6,813 Feb 23, 2013 #2 Nenda Rozana kaka pale buguruni wapo wa kila aina utapata unayemtaka,pole sana kwa upweke.
Lateni JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 676 Reaction score 335 Feb 23, 2013 #3 Nakutakia heri na Mungu akutane na haja ya moyo wako, upate umtakae.