Natafuta mke wa maisha.

Natafuta mke wa maisha.

Kachelenga

Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
26
Reaction score
6
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuingia ktk maisha ya ndoa,awe na umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,mm nina miaka 43,awe mkweli na muwaza na awe mwanamke anaeitaji mume wa maisha.
 
Nenda Rozana kaka pale buguruni wapo wa kila aina utapata unayemtaka,pole sana kwa upweke.
 
Nakutakia heri na Mungu akutane na haja ya moyo wako, upate umtakae.
 
Back
Top Bottom