Natafuta mke wa ndoa.

alujaru

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
30
Reaction score
1

Habari zenu kina dada!
Nina umri wa miaka 30+ , a graduate, an employee, a committed christsian, six feet tall, a little thin, and slightly black.
am looking for :
a commited christian girl,
without a child,
not black skin,
beautiful,
not too short ,
educated at least diploma level,age btn 20-30,
employeed,
living either moro, pwani,or dar especially.
PLEASE sms me at 0682374063 ,if you are ready for a health status check,
you are welcome.


 
Chagua lugha moja weee kingereza si wote wanajua ligha
 

No wonder 30+ Unatafuta mke JF criteria kibao. Sasa umeshindwa kupata mtaani ndio utapata humu? Kwenye NYANI ni NYANI tu.
 

Utakapo punguza vigezo na kufikia unahitaji yeyote yule, basi nitafute.
 
Haya mawhites mume huyo!! Siye mablak imekula kwe2.
 
Huu weusi nilionao kama nimemwagiwa pipa la lami... Ngoja nikae kando..!
 
lugha yangu ni kiingereza sana ndugu yangu bora wanijue mapema si unajua communication ni muhimili ndani sasa asipokiweza itakuwaje?
 
Utakapo punguza vigezo na kufikia unahitaji yeyote yule, basi nitafute.
vigezo muhimu si kila njia itakufikisha ufikapo ndugu, umeshawahi kupanga safari halafu ukasema ntapita njia yoyote?
 
Utakapo punguza vigezo na kufikia unahitaji yeyote yule, basi nitafute.
vigezo muhimu unapopanga safari huwezi kupita njia yeyote ukafika utakako, ndoa ni safari tena ndefu!
 
Haya mawhites mume huyo!! Siye mablak imekula kwe2.
ni mgawanyo tu dada, sasa mi nilijaliwa kuwa si white bora ni balance kwa mama watoto, vinginevyo watoto wangu watakosa wachumba!
 
hahah..vigezo ving..subir vitaisha
haviishi, ni kama vile tu mgawanyo wa kimaisha kuna wengine wanapenda hivi wengine hivi , basi kila mtu na mapenzi yake,na raha ya dunia ni kuwa tofauti, ndio mapenzi ya MUNGU,ndio maana hatufanani kwa kila kitu.
 
Huu weusi nilionao kama nimemwagiwa pipa la lami... Ngoja nikae kando..!
unajua dada, mimi nami ni walewale sasa hata wewe nikushauri ukipata mume mweupe kidogo huoni itapendeza? ni mtazamo tu lakini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…