Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,358
ni mgawanyo tu dada, sasa mi nilijaliwa kuwa si white bora ni balance kwa mama watoto, vinginevyo watoto wangu watakosa wachumba!
hahaha daa cpati picha ulivyo black loh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mgawanyo tu dada, sasa mi nilijaliwa kuwa si white bora ni balance kwa mama watoto, vinginevyo watoto wangu watakosa wachumba!
Wala sio black unavyodhani ,mimi si mweupe wala si mweusi sana ni wa kawaida tu, ila napenda tu kuwa muwazi juu ya interest zangu,ulivyo wewe kwenye hiyo picha yako fake hapo ndivyo nilivyo japo siwezi kungaaa kama wewe unavyongaa maana wewe umepitisha vitu vingi kwenye hiyo ngozi mpaka ukaonekana hivyo!hahaha daa cpati picha ulivyo black loh!