Wala sio black unavyodhani ,mimi si mweupe wala si mweusi sana ni wa kawaida tu, ila napenda tu kuwa muwazi juu ya interest zangu,ulivyo wewe kwenye hiyo picha yako fake hapo ndivyo nilivyo japo siwezi kungaaa kama wewe unavyongaa maana wewe umepitisha vitu vingi kwenye hiyo ngozi mpaka ukaonekana hivyo!