Natafuta mke wa pili

Natafuta mke wa pili

sunna pekee mliyoiona ni hiyo kuongeza mke wakat uadilifu kwa wake zenu ni zero
 
Nayo pia inaweza kuwa sababu sitaki kuchepuka
Sasa si utafute mwenyewe mke hadi utafute mtandaoni. Nyie waislam bana...kuna mmoja rafiki yangu katafutiwa mke wakamuolea kabisa yeye hakuwepo. Karudi kakuta mke tayari...hawajakaa hata mwaka wameachana.
Raha ya mapenzi umuone mtu aanze kukuvutia wewe mwenyewe...huku mtandaoni wengi wapo desparate unaweza kuokota bomu...
Huko unapoishi hakuna wanawake?
 
Suleman alipooa wanawake mia saba, uliaambiwa waliotangulia walikuwa na kassoro

Huwa tunamsifia Suleimani kwa Shughuli ya wanawake wengi
Lakini tunaacha kuusema ukweli kwamba ile shughuli haikumuacha Suleimani Salama
Suleimani alipoteza ufalme na nafasi yake kwa Mungu sababu ya haohao wanawake wengi

1 WAFALME 11:1-12
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti....
Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa Bwana, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake.
Sulemani akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, wala hakumfuata Bwana kwa utimilifu, kama Daudi baba yake.

Basi Bwana akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha Bwana, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili, akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru Bwana.

Kwa hiyo Bwana akamwambia Sulemani, Kwa kuwa umefanya hayo, wala hukuyashika maagano yangu, na sheria zangu nilizokuamuru, hakika nitaurarua ufalme usiwe wako, nami nitampa mtumishi wako.
Walakini katika siku zako sitafanya haya, kwa ajili ya Daudi baba yako; nitaurarua utoke katika mkono wa mwana wako.
 
Mtumishi wa serikali tunaomba CHECK NUMBER yako tafadhali usije kuwa ni mwalimu mwenye take home chini ya 500K kwa mwezi.
Utaenda kumpa shida na ufukara kwa mke wako wa pili.
Kifupi sema una pesa kiasi gani na unamiliki kitu gani sio kusema dini inaruhusu tu ukaona ndio gia.
 
Jamani kwani wewe na wanaoishi mtwara mnatofauti gani?
Ukiumwa hospitali zipo, beach ipo, oxygen ipo na ata ukiiba jela zipo🤣🤣🤣
Mm uke wenza sio shida. Ishu ni unakuta mume hawez hudumia familia mbili. Unakuja kuachika tena
 
Sasa si utafute mwenyewe mke hadi utafute mtandaoni. Nyie waislam bana...kuna mmoja rafiki yangu katafutiwa mke wakamuolea kabisa yeye hakuwepo. Karudi kakuta mke tayari...hawajakaa hata mwaka wameachana.
Raha ya mapenzi umuone mtu aanze kukuvutia wewe mwenyewe...huku mtandaoni wengi wapo desparate unaweza kuokota bomu...
Huko unapoishi hakuna wanawake?
Kupata mke sahihi haina formula ni bahati nasibu.
 
Kuna rafiki yangu ka date na mke wake miaka sita mwaka wa saba wakafunga ndoa mwaka wanane sasa wanakutana mahama mke anadai divorce paper.......hiyo ndo ndoa sasa.
 
Kuna rafiki yangu ka date na mke wake miaka sita mwaka wa saba wakafunga ndoa mwaka wanane sasa wanakutana mahama mke anadai divorce paper.......hiyo ndo ndoa sasa.
Mambo ya ndoa mkimuweka Mungu mbele ndo mtaweza dumu
 
Mm uke wenza sio shida. Ishu ni unakuta mume hawez hudumia familia mbili. Unakuja kuachika tena
Alooo...kweli wewe wife material maana wanawake wengi wa imani ya kiislam hawataki uke wenza.

Usijali jamaa atakuwa na uwezo bwana wakuhudumia familia ndio maana kaweka wazi kuwa anataka mke wa pili.
 
Kuna rafiki yangu ka date na mke wake miaka sita mwaka wa saba wakafunga ndoa mwaka wanane sasa wanakutana mahama mke anadai divorce paper.......hiyo ndo ndoa sasa.
Sasa hao mbona the writing was on the wall kabisa.
Numerous research concerning cohabitation before marriage zimekuja na conclusion kuwa watu wanao cohabit wanaongeza chances zao za divorce wakioana kuliko wale ambao hawajafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom