Natafuta mke wa pili

Natafuta mke wa pili

Jamani kwani wewe na wanaoishi mtwara mnatofauti gani?
Ukiumwa hospitali zipo, beach ipo, oxygen ipo na ata ukiiba jela zipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🥱
 
Huwa tunamsifia Suleimani kwa Shughuli ya wanawake wengi
Lakini tunaacha kuusema ukweli kwamba ile shughuli haikumuacha Suleimani Salama
Suleimani alipoteza ufalme na nafasi yake kwa Mungu sababu ya haohao wanawake wengi

1 WAFALME 11:1-12
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti....
Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo.
Maana ikawa, Sulemani alipokuwa mzee, wake zake wakamgeuza moyo wake, afuate miungu mingine, wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa Bwana, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake.
Sulemani akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, wala hakumfuata Bwana kwa utimilifu, kama Daudi baba yake.

Basi Bwana akamghadhibikia Sulemani kwa sababu moyo wake umegeuka, naye amemwacha Bwana, Mungu wa Israeli, aliyemtokea mara mbili, akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru Bwana.

Kwa hiyo Bwana akamwambia Sulemani, Kwa kuwa umefanya hayo, wala hukuyashika maagano yangu, na sheria zangu nilizokuamuru, hakika nitaurarua ufalme usiwe wako, nami nitampa mtumishi wako.
Walakini katika siku zako sitafanya haya, kwa ajili ya Daudi baba yako; nitaurarua utoke katika mkono wa mwana wako.
Na neno lipo ili litimie,,,Maneno tuu bila vitendo tusingeelewa vyema na ndio Maana Neno lisipotimia kwako,,,ujue litatimia kwa mwingine,,Na kwenye maisha lazima wote tutimize Neno kwa namna yoyote ilee na katika Hali yoyote ile na ulimwengu ndio utaendelea vivyo hivyo vizazi na vizazi kwa kupokezana!!
 
Katika imani ya dini ya kiislamu tumehimizwa kuoa wake wanne na imeshindikana kabisa uoe mmoja
Mnaenjoy sana wenzetu yaani hadi wake wanne mbona bonge la burudani
 
[emoji38][emoji38]tena hiyo ndiyo umekokotezwa na ukiwa nao hao hata presha huna
Kabisa wee ni kufurahi tuu na wake zako. Ila dah inabidi mwanawane uwe upo fit. Kugegeda mbususu nne sii mchezo unaweza kondeana🤣🤣🤣🤣
 
Sasa si utafute mwenyewe mke hadi utafute mtandaoni. Nyie waislam bana...kuna mmoja rafiki yangu katafutiwa mke wakamuolea kabisa yeye hakuwepo. Karudi kakuta mke tayari...hawajakaa hata mwaka wameachana.
Raha ya mapenzi umuone mtu aanze kukuvutia wewe mwenyewe...huku mtandaoni wengi wapo desparate unaweza kuokota bomu...
Huko unapoishi hakuna wanawake?
Maranyingi ukimpata wa ridhaa yake inakuwa rahisi kuishi nae
 
Kabisa wee ni kufurahi tuu na wake zako. Ila dah inabidi mwanawane uwe upo fit. Kugegeda mbususu nne sii mchezo unaweza kondeana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa usiwe wa kula chips na miguu ya wale jamaa wanaokuzwa kwa umeme[emoji15]
 
Kikubwa usiwe wa kula chips na miguu ya wale jamaa wanaokuzwa kwa umeme[emoji15]
Kwa ufipi ni kwamba sie wenye vibamia fusijaribu kabisa hii kitu.
Aise wanaume wa dar sii ndio mdebwedo.....hii nona tuwaachie wasukuma maana mijamaa ile ina nguvu balaaa
 
Kwa ufipi ni kwamba sie wenye vibamia fusijaribu kabisa hii kitu.
Aise wanaume wa dar sii ndio mdebwedo.....hii nona tuwaachie wasukuma maana mijamaa ile ina nguvu balaaa
Na makonde tribe wala ming'oko yaani underground eaters[emoji3062]
 
Back
Top Bottom