Natafuta Mke Wa Tatu

Natafuta Mke Wa Tatu

ukimpata tujulishe tuanzishe sredi la michango.

Sijawahi kuchangiwa hata mke mmoja kati ya wawili niliooana nao na haitokuwa hivyo kwa huyu wa tatu na wala huwa sichangii harusi, never, sioni mantiki yake.
 
Sijawahi kuchangiwa hata mke mmoja kati ya wawili niliooana nao na haitokuwa hivyo kwa huyu wa tatu na wala huwa sichangii harusi, never, sioni mantiki yake.
wewe ndoa ya tatu,mwenzio akiwa ndio ya kwanza na anataka mambo makubwa itakuwaje maana ndoa ni ile ya kwanza bwana hizi nyingine ni ndoa lakini ya kwanza ndio yenyewe
 
Mnyamwezi masikini vile naogopa kulima maana sijaona faida za kuwa mkulima Tanzania,ila ulikuwa ugonjwa wangu huo

Njoo utembee shambani kwangu, naona utapenda kulima, kwani hutolima kwa mkono, mostly uta-spervise na kuweka records, ingawa wapo wahudumu wafanyao hivyo, lakini mali bila mwenyewe? haina raha, unakaribishwa kutembelea. Si unaona, nna time ya kuwepo-JF kwa muda mrefu? ujuwe nipo huku, ambapo anatakiwa mke awepo.
 
wewe ndoa ya tatu,mwenzio akiwa ndio ya kwanza na anataka mambo makubwa itakuwaje maana ndoa ni ile ya kwanza bwana hizi nyingine ni ndoa lakini ya kwanza ndio yenyewe

Tutayatimiza yote ayatakayo bila michango, nashkuru uwezo huo nnao. Si nimekuambia mie ni ndugu yake Rostam, alinikopesha ka msingi kakubwa tu, kwa standard zetu za Tanzania na nashkuru nimeshamaliza kulipa sasa sina wasi, nataka kula matunda ya shamba.
 
usimtaje huyo bwana maana utakosa mke wa tatu,mie moja ya sharti la kunioa ni kichwa cha huyo bwana,sasa wewe tena ndio mpaka pesa zake kakupa sijui itakuwaje!!!
 
nashukuru kwa mwaliko,ntajitahidi nihudhurie huko

Tena ntahakikisha siku unakuja ntamwita na Rostam, muongee kinyemwezi maana anaongea kinyamwezi ile mbaya.
 
usimtaje huyo bwana maana utakosa mke wa tatu,mie moja ya sharti la kunioa ni kichwa cha huyo bwana,sasa wewe tena ndio mpaka pesa zake kakupa sijui itakuwaje!!!

Hajanipa, kanikopesha na nimesha mlipa. Aaah ni ndgu yangu kabisa, sasa wewe unasikia maneno ya watu kuwa RA ni hivi, ni vile, usisikie cha kuambiwa, si bora ukija utakutana nae na utamueleza yote yanayokukera kwake na utapata kusikia naye anasema nini. In short, he is one of very few good peoples.
 
maana nnaogopa bwana,isijekuwa kweli kakwapura za watz,dhambi yake itasambaa kwa kila aliyeonja thumni yake,na baadae kwa vizazi vyao,sasa nsije zaa majambazi na makahaba kumbe chanzo dhulma
 
Watu na kazi zao. Kisa cha kufia presha na wanawake hawa wa kileo. Mmoaja balaa. Hao wanne utawaweza kweli?
 
maana nnaogopa bwana,isijekuwa kweli kakwapura za watz,dhambi yake itasambaa kwa kila aliyeonja thumni yake,na baadae kwa vizazi vyao,sasa nsije zaa majambazi na makahaba kumbe chanzo dhulma

Duhhh, si kweli kabisa mie namkatalia, lile jamaa lina kipaji cha fedha, zinamfata zenyewe. Si umeona mambo ya Dowans, matajiri ni wengine na wenye Dowans wengine lakini kwa kuwa lenyewe lina bahati, yamempa PA, alipwe yeye, sasa unafikiri zikilipwa yeye atapata ngapi hapo? si unaona, mambo ya vipaji hayo!
 
Hasira hasara jamani,wala siendi namtania tu,mwenyewe ana miaka 60 hata babangu mzazi kijana

Jamaa lina wivu hilo.

Halafu, kwani mie Mzee? duhhhhh, kwani wee hujui kuwa Old is Gold?
 
Watu na kazi zao. Kisa cha kufia presha na wanawake hawa wa kileo. Mmoaja balaa. Hao wanne utawaweza kweli?

.
Wawili nimewaweza na wamenipa RUKSA ya kuongeza watatu, ngoja basi nitimize watatu ndio ntakapojuwa kama na wanne ntamuweza.
 
Back
Top Bottom