Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko kibaha si ndo unakoishia uzee....inahusu!Nimeongeza vivutio:
12) Siku ya kwanza baada ya ndoa nakukabidhi Pickup 4x4 Hilux, ili ikusaidie kazi za shamba, kama hujui kuendesha nakupeleka driving school kwa gharama zangu.
13) Nakuwekea akaunti ya mafuta ya gari kituo chochote cha GBP ukijuwacho ukifika unajaza tu mafuta una saini.
14) Tablet mpya uipendayo na inatneti imelipiwa.
15) Simu uipendayo na hakuna tena kuomba vocha, nailipia kwa bili.
16) Nakuwekea bili saloon we nenda tu tengenezwa saini ondoka.
17) Nakuwekea bili kwa dizaina wa nguo umpendae, nguo mpya zisozidi nane kwa mwezi. 4 za kutokea nne za kushindia nyumbani.
18) Nakupa na kredit kadi ya platinam ya visa. tumia upendavyo isizidi dola 3,000 kwa mwezi sawa na dola mia kila siku.
19) utakuwa unakaa kibaha shambani, nyumba kubwa ya kutosha na ina kila kitu ndan. Upo huru kubadili fanicha zote na kuweka upendazo.
20) Siku ukija Dar. unafikia kempisiki kama utapapenda.
huko kibaha si ndo unakoishia uzee....inahusu!
mhhh kizee cha kibulushi hicho...Alhamis kinaota mkia pata picha.we umeona kibaha tu?
ukibadilishiwa iwe bunju je?
utakimbilia offa?lol
mhhh kizee cha kibulushi hicho...Alhamis kinaota mkia pata picha.
unawafahamu waburushi kwanza...kama wawajua na sifa yao utaijua!kuota mkia?
ndo vipi hiyo?
unawafahamu waburushi kwanza...kama wawajua na sifa yao utaijua!
Nimeongeza vivutio: