Natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane

Natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane

Koschei

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
451
Reaction score
751
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35. Nina mtoto mmoja na nimfanya biashara wa mitumba.

Napatikana Mwanza Ilemela, natafuta mke wakuoa kwa ambae yupo tayari tafadhari tuwasiliane DM ipo wazi. Umri wowote unaruhusiwa mradi uweserious
 
Lamomy fahamu kuwa kigezo anachotaka n ww mwanamke uwe serious tuu, hv serious ni jambo la ww kukosa kweli
Yeye mwenyewe muoaji hayuko serious…. Yani anauza mitumba halafu Ilemela?? 😹

Nitoke kkoo niende Ilemela 😹🔫
 
Yeye mwenyewe muoaji hayuko serious…. Yani anauza mitumba halafu Ilemela?? 😹

Nitoke kkoo niende Ilemela 😹🔫
Ndoa ni jambo la baraka.

Afu acha dharau ww dogo, kwahy mtu asifanye biashara 😹
 
Ndoa ni jambo la baraka.

Afu acha dharau ww dogo, kwahy mtu asifanye biashara 😹
Hiyo baraka ya kuishi Ilemela ni uongo 😹

Mi nishapazoea dar labda ahamishie mitumba karume au big brother..!!
 
Hiyo baraka ya kuishi Ilemela ni uongo 😹

Mi nishapazoea dar labda ahamishie mitumba karume au big brother..!!
Ngoja mhusika atafikiria hilo, mana ww n pisi kali ya kwenda hvy hawezi kukuacha 😹
 
Back
Top Bottom