Natafuta mke wakuoa

Mr bee94

Member
Joined
Nov 16, 2021
Posts
19
Reaction score
12
WASIFU
1.Umri miaka 27
2.Elimu Diploma
3.Dini mkristo
4.Rangi mweusi
5.Kimo wastani

Sifa za ninae mwitaji awe mke
1.Umri 20-26
2..Elimu kuanzia form 4 na kuendelea
3.Dini awe mkristo
4.Awe na hofu ya mungu
5.Asiwe mlevi
 
Ulevi muwe mnauelezea vizuri. Anaweza kuwa sio mlevi wa pombe (ambayo ndio target yenu wengi) na akawa mlevi wa mambo mengine kama umbea, uzinzi, dini, uongo, unafki n.k
 
Ulevi muwe mnauelezea vizuri. Anaweza kuwa sio mlevi wa pombe (ambayo ndio target yenu wengi) na akawa mlevi wa mambo mengine kama umbea, uzinzi, dini, uongo, unafki n.k
Sasa huyu jamaa atatafutaje "mke" wa kuoa? Navyojua mimi mke ni mwanamke aliyeolewa.... Huyu chalii anataka kuoa mke wa mtu?

Ni sawa na mtu atafute mtoto wa kuzaa

Laanakum
 
Sasa huyu jamaa atatafutaje "mke" wa kuoa? Navyojua mimi mke ni mwanamke aliyeolewa.... Huyu chalii anataka kuoa mke wa mtu?

Ni saa na mtu atafute mtoto wa kuzaa

Laanakum
We mzee kvant ya ngapi hiyo imekufanya uwe na observation nzuri hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…