Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyu jamaa atatafutaje "mke" wa kuoa? Navyojua mimi mke ni mwanamke aliyeolewa.... Huyu chalii anataka kuoa mke wa mtu?Ulevi muwe mnauelezea vizuri. Anaweza kuwa sio mlevi wa pombe (ambayo ndio target yenu wengi) na akawa mlevi wa mambo mengine kama umbea, uzinzi, dini, uongo, unafki n.k
We mzee kvant ya ngapi hiyo imekufanya uwe na observation nzuri hivyo?Sasa huyu jamaa atatafutaje "mke" wa kuoa? Navyojua mimi mke ni mwanamke aliyeolewa.... Huyu chalii anataka kuoa mke wa mtu?
Ni saa na mtu atafute mtoto wa kuzaa
Laanakum
Hii ni kwaresma....We mzee kvant ya ngapi hiyo imekufanya uwe na observation nzuri hivyo?
Mimi sina kwereHii ni kwaresma....