*Hello Wana JF,
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji
Sifa ya mke ninaye mtaka.
~ Awe na umri 28-30.
~ Elimu siyo kipaumbele changu.
~ Dini yeyote
~ Kabila lolote.
~ Akiwa na mtoto haina shida, akiwa hana napo sawa.
~ Awe na mapenzi ya kweli.
~ Awe yatatu kupima afya.
Karibu njoo PM tuyajenge.*