Natafuta mke

Natafuta mke

Tswana14

Senior Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
167
Reaction score
73
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba wa kuoa aliye na umri kuanzia miaka 23 mpaka 26.

Aliye interest tuwasiliane kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
 
kama umewakosa unaoshinda nao hawa wa mitandaoni unatafuta msiba.
 
Back
Top Bottom