YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Hivi, hawa warembo ambao wanatafuta wachumba humu Jf mbona mimi nikiwatafuta hawarespond? Mimi ninahitaji kuwa na mwanamke, lakini hawa hawako serious!! Au wanafanya utani tu? Kwa mwanamke aliye tayari, naomba tuwasiliane ili tuweke mambo sawa, hasa ya ndoa. umri iwe chini ya 36, kabila ni lolote ila mimi ni mkristo wa RC na ninatoka maeneo ya kanda ya ziwa.