Natafuta mke

Natafuta mke

YAHERI MUNGU

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
318
Reaction score
215
Hivi, hawa warembo ambao wanatafuta wachumba humu Jf mbona mimi nikiwatafuta hawarespond? Mimi ninahitaji kuwa na mwanamke, lakini hawa hawako serious!! Au wanafanya utani tu? Kwa mwanamke aliye tayari, naomba tuwasiliane ili tuweke mambo sawa, hasa ya ndoa. umri iwe chini ya 36, kabila ni lolote ila mimi ni mkristo wa RC na ninatoka maeneo ya kanda ya ziwa.
 
Weka mazagazaga yako hapa! Kama ni mvuvi una boti ngapi, kama ni mfugaji una mazizi mangap? Kama ni msomi una vyeti gani? sema usikikeeee
 
Weka mazagazaga yako hapa! Kama ni mvuvi una boti ngapi, kama ni mfugaji una mazizi mangap? Kama ni msomi una vyeti gani? sema usikikeeee
Kwavi boti za uvuvi, mazizi ya mifugo na vyeti ndo vinavyo oa??
 
Weka mazagazaga yako hapa! Kama ni mvuvi una boti ngapi, kama ni mfugaji una mazizi mangap? Kama ni msomi una vyeti gani? sema usikikeeee
Nina baskeli moja na radio moja ya mbao!!
 
Kwavi boti za uvuvi, mazizi ya mifugo na vyeti ndo vinavyo oa??

Soma vizuri hapo.... hivyo haviowi ila ni mazagazaga. Najua utauliza mazagazaga ni nini!!
 
Weka mazagazaga yako hapa! Kama ni mvuvi una boti ngapi, kama ni mfugaji una mazizi mangap? Kama ni msomi una vyeti gani? sema usikikeeee
Mimi ni mtunga sheria na msimamizi wa sheria za nchi.
 
Fursa hiii ila sasa kanda ya ziwa naweza furahia ntakula samaki kumbe uko sehemu hata ziwa hulioni
 
NIMETAFUTA HADI NIMECHOKA NA NYIE WANAUME HUKU HAPO SIRIAS MARA MSEME MPO UK,SIJUI USA .MIMI NATAKA WA HAPAHAPA BONGO FIMBO YA MBALI SITAKI
 
Back
Top Bottom