DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Assalam alykum .
Hama baada ya salamu naomba nitililike moja kwa moja........
Mimi nikija mwenye umri wa mika 24 ....
Elimu yangu (niyachuo) Diploma ya ualimu wa Secondary lakin niliupiga chaupuo ualimu nakuamua kuwa Mfanyabishara ambapo namiliki duka languo kariakoo pia namiliki na bajaji mbili ..... Pamoja na gari ndogo yakutembelea...
Nimefanikiwa kujenga Nina nyumba ya vyumba vinne .... Iko Kigamboni...
Vigezo vya mke Anayehitajika .....
Umri kuanzia miaka 19 hadi 22
Elimu angalau Form four nakuhendelea
Dini Muslim
Rangi yoyote ila asiwe mweusi tiii.
Nidhamu na ukalimu vitampa Credit