Natafuta mke

Natafuta mke

The River

Senior Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
128
Reaction score
83
Kama title inavyojieleza,

Sifa: Mchapakazi, mrembo/mzuri, mkristo, umri kuanzia miaka 18-20, si mrefu sana au mfupi sana awe wa kati, awe mtanzania.

Sifa zangu: Umri miaka 25, urefu wa kati, mkristo, maji ya kunde, kama upo ni PM tujuane zaidi, nahitaji watu wenye nia, kama haikuhusu pita kama huoni.
 
Back
Top Bottom