Natafuta mke

Natafuta mke

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Habari za asubuhi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Mimi ni mwanaume na miaka 23, mweupe, mkristo, elimu bado nipo chuo, mchaga nadhani inatosha japo kidogo kujitambulisha.

Mimi ni mtu mwaminifu na huwa sikosei! Najua kupenda na sijawahi kumuumiza mwanamke yeyote hivyo unaweza ona jinsi gani nilivyo smart. Nachokichukia kwa wanawake ni usaliti tuu hayo mengine tunasahihishana. Mara nyingi mimi ni mtu nilie makini mda wote so na expect nae awe makini.

Natafuta mwanamke mwenye sifa zifutazo.
-Mcha Mungu awe mkristo kama ni dini mwislamu awe tayari kuwa mkristo! hiyo ni lazima maana nipo strong sana kuhusu mambo ya imani.
-Awe bikra
-Awe na figure namba nane.
-Awe wa kabila lolote hata nchi jirani mradi kiswahili au english anaelewa.
-Awe wa rangi yoyote.
-Awe na elimu isiwe chini ya form four wala isizidi degree.
-Awe na miaka kuanzia 20 na isizidi 23.
-Awe na urefu wa futi 5 isizidi na akiwa chini ya hapo iwe futi 4.5.
-Awe mchapa kazi popote pale, sitaki mvivu mimi ni mtu wa kuchakarika.
-Awe tayari kujifunza mambo mbalimbali kuhusu elimu.
-Hobbies zake ziwe muziki wa dini, bongo fleva na ulaya, muvi, mapishi n.k sitaki awe na hobbies zisizo na maadili.
-Awe mpole at the same time awe na maamuzi yake binafsi.


Natanguliza shukrani.
Kama huna hizo sifa plz jali muda wa mtu tusikwazane. Comment zisizo namsingi zinapita pembeni.
 
[emoji23][emoji23]umenifanya nicheke mkuu dunia ya leo hii upate mwanamke bikra labda huko vijijini ndani ndani ambako hata smartphone hawazijui wala jf hawaijui,du nakutakia mafanikio mema hapa labda utapata zilizo tengenezwa(fake virgin)
 
Back
Top Bottom