Natafuta mke

Natafuta mke

w1w2w3

Member
Joined
Jul 19, 2017
Posts
31
Reaction score
21
Habari natafuta mke wakuoa awe na vigezo vifuatavyo

1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,

2: Awe anajitambua na creative kutafuta pesa.

3: Awe tayari kuishi nje ya nchi

4: Awe anaweza kuongea kiingereza

5: Awe mpishi mzuri wa misosi ya kitanzania......

6: umri miaka 24-28...

7:Awe anajikubali yeye kama African sitaki mwanamke fake anaye abudu western traditions.

SIFA ZANGU HIZI HAPA

1: ELimu masters

2: umri 30

3: Nimejiajiri

4: Basic things nyumba,gari, nk

IF YOUR INTERSTED NICHEKI PM...........
 
Naombeni kuuliza hivi hawa watu wanaotafuta mke wa kuoa wapo serious kweli mbona siwaelewi lakn mm sijaolewa natafuta mume awe mweupe kdg Awe ana umri miaka 28_30 awe mkristo awe anajua majukumu yake kama mume awe na huruma mwenye heshima awe smart awe amesoma angalau form 4 lakn mm npo pwani akiwa karibu sio mbaya npo serious tafadhali kwa ambaye yupo tayari
 
Back
Top Bottom