John January
Member
- Mar 31, 2018
- 11
- 7
Habari JF,
Nimeamua kujitokeza hadharani kuongeza kasi ya utafutaji. Nahitaji kuoa na kuanza kulea familia.
Mtakaonikejeli mbarikiwe, hatukuumbwa sawa wote, pia tunatofautiana malezi na fursa.
Umri wangu ni miaka 33, mrefu wa wastani, maji ya kunde. Kitaaluma ni Mhandisi wa Tehama, nimeajiriwa hapa jijini Dar. Dini yangu ni Mkristo, situmii pombe wala sigara.
Natafuta binti wa kuoa, anaejitambua. Awe graduate, asiwe mfupi au mnene. Dini mkristo, awe tayari kubadili dini na kua msabato. Umri miaka 23 - 28, asiwe na mtoto.
Ambae yuko tayari ani PM.